Miili Ya Mto Yala Hospitali Ya Siaya Haina Uwezo Wa Kuhifadhi Zaidi Ya Miili 24

  • 2 years ago
Masaa Machache Baada Ya Upasuaji Wa Miili Iliyoopolewa Mto Yala Kukamilika Katika Hospitali Ya Yala,Gavana Wa Kaunti Ya Siaya Cornel Rasanga Ameitaka Serikali Kuhamisha Miili Hiyo Hadi Hifadhi Ya Maiti Ya City Jijini Nairobi.Kulingana Na Gavana Rasanga Hifadhi Ya Maiti Ya Hospitali Ya Siaya Haina Uwezo Wa Kuhifadhi Miili Zaidi Kwani Kati Ya Miili 38,24 Ni Iliyoopolewa Mto Yala.

Recommended