Wahudumu Wa Afya Siaya Wahofia Msambao Wa Omicron

  • 2 years ago
Wahudumu Wa Afya Kaunti Wameeleza Hofu Yao Kuhusu Ongezeko La Visa Vya Maambukizi Ya Aina Mpya Ya Virusi Vya Corona Ya Omicron. Kulingana Na Afisa Wa Chanjo Katika Kaunti Hiyo Joshua Ondiege Wamekuwa Wakiandikisha Idadi Ya Maambukizi Ya Zaidi Ya 50% Kila Siku, Hali Inayopelekea Wanaofikishwa Hospitalini Na Dalili Za Covid19 Kuongezeka Kwa Idadi Kubwa. Wahudumu Wa Afya Pia Hawaja Sazwa Katika Ongezeko Hilo La Hivi Majuzi.

Recommended