Umuhimu Wa Bima Ya Afya Ya NHIF
  • last year
Bima Ya Afya Ya NHIF Imekuwa Ikipigiwa Upatu Na Serikali Kupitia Wizara Ya Afya. Serikali Inanuia Kuwapa Wakenya Nafasi Ya Kujisimamia Kiafya Bila Kugharamia Dharura Za Kiafya. Haya Hapa Mahojiano Na Meneja Wa Afya Kwa Wote Chini Ya Bima Ya Afya Gilbert Osoro, Ili Upate Ufahamu Na Umuhimu Wa Kulinda Afya Yako Kupitia Bima Ya Afya Ya NHIF.
Recommended