Familia Zaidi Ya 100 Zapoteza Nyumba Zao Kwenye Mkasa Wa Moto
  • 3 years ago
Watu Wawili Wamepoteza Maisha Yao Kutokana Na Mkasa Wa Moto Eneo La Mabanda La Kiamutisya Eneo La Mlango Kubwa Kaunti Ya Nairobi. Kulingana Na Baadhi Ya Wakaazi Eneo Hilo Moto Huo Ulianza Usiku Wa Kuamkia Leo Na Kuwaacha Zaidi Ya Wakaazi 100 Bila Makao. Maafisa Wa Polisi Sasa Wameanzisha Uchunguzi Kubaini Kiini Cha Moto Huo. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Maelezo Zaidi………
Recommended