Hospitali Nyingi Zinakumbana Na Uhaba Wa Matanki Ya Oksijeni

  • 3 years ago
Huku Wagonjwa Wengi Wa Corona Wakiwa Na Uhitaji Wa Gesi Ya Oksijeni, Hospitali Nyingi Nchini Zinakumbana Na Uhaba Wa Matanki Ya Oksijeni, Hali Inayowacha Wagonjwa Hao Katika Hatari Ya Kuangamia. Na Katika Jitihada Za Kutatua Hali Hii, Serikali Ya Kauntiya Kiambu Imetenga Fedha Zaidi Ili Kufanikisha Mradi Wa Kiwanda Cha Kuzalisha Gesi Ya Oksojeni Ili Kuwahudumia Wagonjwa Wa Covid-19 Bila Malipo.

Recommended