Kati Ya Watoto 240,000 Wanaozaliwa Na Ugonjwa Wa Sickle Cell, 6000 Wapo Kenya

  • 3 years ago
Wizara Ya Afya Imepewa Jukumu La Kuhakikisha Kuwa Kuna Uhamasisho Wa Kutosha Kuhusiana Na Ugonjwa Wa Sickle Cell Ambao Unaathiri Maelfu Ya Watu. Kulingana Na Daktari Peter Okoth, Licha Ya Ugonjwa Huu Kuwaathiri Watu Wengi, Unaendelea Kupuuziliwa Hivyo Basi Kuhatarisha Maisha Ya Watu.