Mdahalo Wa Maandamo
  • last year
Hali Ya Vuta Nkuvute Inazidi Kushuhudiwa Kuhusu Swala La Maandamo Linalopangwa Na Muungano Wa Azimio La Umoja , Hii Leo Wabunge Wa Azimio Wakisema Wanaunga Mkono Kwa Asilimia Mia Moja Maandano Hayo Huku Mrengo Wa Kenya Kwanza Ukiendelea Kumsuta Odinga Wakisema Ubinafsi Wake Unaishika Taifa La Kenya Mateka.
Recommended