Wakaazi Wanahofia Maisha Yao Kutokana Na Ongezeko La Visa Vya Uhalifu

  • 3 years ago
Wakaazi Wa Eneo Bunge La Gatundu North Wanahofia Maisha Yao Kutokana Na Ongezeko La Visa Vya Uhalifu Eneo Hilo. Wakaazi Hao Wanashikilia Kuwa Baadhi Yao Wamepoteza Mali Yao Kutokana Na Visa Hivyo. Wakaazi Hao Wameitaka Vitengo Vya Usalama Kuingilia Kati.

Recommended