Viongozi Walalamikia Ongezeko La Visa Vya Ubakaji Kirinyaga

  • 3 years ago
Viongozi Wanawake Kutoka Kaunti Ya Kirinyaga Wameeleza Ghadhabu Yao Na Ongezeko La Visa Vya Ubakaji Katika Kaunti Hiyo. Kinamama Hao Ambao Pia In Wawakilishi Wodi Wanataka Hatua Kali Kuchukuliwa Dhidi Ya Wahusika, Wengi Wanaodai Hutekeleza Unyama Huo Kwa Watoto Wadogo.