Wasiwasi Waibuliwa Kufuatia Ongezeko La Visa Vya Corona

  • 3 years ago
Kufuatia Ongezeko La Visa Vya Virusi Vya Corona Humu Nchini, Washikadau Katika Sekta Ya Afya Wameitaka Serikali Kupiga Marufuku Mara Moja Mikutano Ya Kisiasa Inayoonekana Kuchangia Katika Ongezeko Hilo. Muungano Wa Matabibu Nchini Maaruf Kama Kuco Umeibua Wasiwasi Kutokana Na Uhaba Wa Na Nafasi Katika Vituo Vya Afya Vya Kuwahudumia Wagonjwa Wa Covid-19.

Recommended