Wakaazi Wa Matungu Wanahofia Maisha Yao Kufuatia Shimo Kubwa Eneo Hilo

  • 2 years ago
Wakaazi Wa Matungu Kaunti Ya Kakamega Wameshangazwa Na Tukio La Kuporomoka Ardhi Iliyo Kandokando Mwa Barabara Kuu Ya Kutoka Ejinja Kuelekea Ogallo. Wakizungumza Na Wanahabari, Wakaazi Hao Wamesema Shimo Hilo Limetokana Na Unyevunyevu Kwenye Ardhi Eneo Hilo Na Huenda Likasababisha Maafa Iwapo Hatua Za Dharura Hazitachukuliwa. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Maelezo Zaidi…….

Recommended