Wakaazi Wa Mukuru Wameshikilia Kuwa Hawako Tayari Kuhama

  • 2 years ago
Baadhi Ya Wakaazi Wa Mukuru Kwa Njenga Wameshikilia Kuwa Hawako Tayari Kuhama Makaazi Yao Kufuatia Kuanguka Kwa Vikingi Vinavyoshikilia Nyayo Za Umeme Eneo La Embakasi. Aidha Baadhi Yao Wameafikia Matakwa Ya Kampuni Ya Kenya Power Na Kuhama Mita 20 Kutoka Eneo Hilo. Na Kama Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Anavyotueleza Zoezi La Kuregesha Stima Inaendelea Kushika Kasi.