7 months ago

Msichana Aliyepita Mtihani Akosa Karo Ya Kuingia Shuleni

EbruTVKENYA
EbruTVKENYA
Msichana Wa Miaka 16 Kutoka Kata Ya Adu Aliyejizolea Alama 405 Katika Mtihani Wa Kcpe Katika Shule Ya Msingi Ya Bandacho Eneo Bunge La Magarini, Bado Haja Jiunga Na Shule Ya Upili Ya Moi Girls Alipopata Nafasi Katika Kidato Cha Kwanza. Sera Kauchi Naftali Amepoteza Matumani Ya Kutimiza Ndoto Zake Maana Wazazi Wake Ni Masikini.Mamake Kauchi Anatoa Wito Kwa Wahisani Kumasidia Aende Shuleni.

Browse more videos

Browse more videos