Wazee Wa Mau Mau Wafanya Maombi Ya Uwiano Na Msamaha

  • last year
Baadhi Ya Wazee Wa Kundi La Waliopigania Uhuru Cha Mau Mua Wameendelea Kulalama Kuwa Serikali Imewatenga Licha Ya Juhudi Zao Za Kulikomboa Taifa La Kenya Kutoka Kwa Mabeberu . Wazee Hao Wakiongozwa Na Aliyekuwa Kiongozi Wa Kundi Liloharamishwa La Mungiki Ndura Waruinge Wamefanya Maombi Ya Uwiano Na Msamaha Huku Wakihimza Jamii Ya Agikuyu Kuungana.