Gavana Ngilu Ahidi Kuzipa Familia Zilizoathiriwa Msaada

  • 2 years ago
Gavana Wa Kitui Charity Ngilu Amehidi Wa Kushughlikia Mazishi Familia Zilizoathiriwa Kwa Kupoteza Jamaa Zao Katika Ajali Ya Mto Wa Enziu.Gavana Ngilu Amesema Kuwa Atahakikisha Kila Mmoja Ameshughlikiwa Ipasavyo.

Recommended