Viongozi Kilifi Wanataka Serikali Kuwapa Wafanyikazi Chanjo Ya Covid

  • 3 years ago
Viongozi Kutoka Kilifi Wameitaka Wizara Ya Afya Kuwapa Wafanyikazi Katika Sekta Ya Utalii Chanjo Ili Kukabiliana Na Mkurupuko Wa Virusi Hivyo Katika Sekta Hiyo. Kulingana Na Gavana Wa Kilifi Amason Kingi Kufikia Sasa Watu Zaidi Ya 300 Wamepokea Chanjo Ya Covid-19 Kufikia Sasa Katika Sekta Hiyo.

Recommended