Baadhi Ya Viongozi Waunga Mkono Mradi Wa Serikali Kukopa

  • 3 years ago
Baadhi Ya Vingozi Wameunga Mkono Mradi Wa Serikali Wa Kukopa Kutoka Hazina Ya Imf. Kamishna Wa Kitaifa Wa Ardhi Kazungu Kambi Ametetea Mradi Huu Na Kuitisha Mkopo Wa Bilioni 3 Kumaliza Mradi Wa Challa Unaojengwa Kaunti Ya Taita Taveta. Hata Hivyo Amesihi Serikali Ihakikisha Ifusadi Umeangamizwa. Mwanahabari Wetu Lucy Riley Anatuarifu Zaidi.

Recommended