Dawa Ya Makali Ya HIV: Serikali Yawataka Waliopewa Dawa Aina Ya TLD Kutoka UCL Kurejesha
  • last year
Zikiwa Zimesalia Siku Mbili Dunia Kuadhimisha Siku Ya Ukimwi Duniani, Kenya Imerekodi Asilimia Kubwa Ya Maambukizi Mapya. Ila Swala La Dawa Za Kupunguza Makali Ya Virus Vya Ukimwi Limeibuka Huku Dawa Aina Ya UCL Iliyosambazwa Kwa Watu Wanaoishi Na Virusi Vya Ukimwi Ikizua Maswali Tele Ya Kuwa Na Dosari Ya Kubadilika Kwa Rangi Yake Halisi. Serikali Kupitia Shirika La NASCOP Limedhibitisha Kuwa Dawa Hii Ilisambazwa Kati Ya Julai Na Agosti .
Recommended