Mazishi Ya Kalembe Ndile, Ibada Mbili Za Wafu Kufanyika Jumanne Na Alhamis Juma Lijalo

  • 3 years ago
Ibada Mbili Za Wafu Zimeandaliwa Kwa Heshima Ya Mwendazake Aliyekuwa Mbunge Wa Kibwezi Kalembe Ndile Jumanne Na Alhamis Juma Lijalo Kabla Ya Mazishi Yake Ijumaa Ijayo Nyumbani Kwake Mbui Nzau Kaunti Ya Makueni. Kwa Mujibu Wa Kamati Ya Maandalizi Ya Mazishi Hayo Ikiongozwa Na Mwakilishi Wa Kina Mama Kaunti Ya Kamueni Rose Useo Ibada Ya Kwanza Itakua Ya Familia Na Ya Pili Itakua Ya Wakenya Wote Katika Kanisa La Holy Family Basilica.

Recommended