Shule Mbili Zaidi Zimeteketea Licha Ya Vitisho Vya Wizara Ya Elimu

  • 2 years ago
Shule Ya Upili Ya Makindu Ndio Shule Ya Hivi Karibuni Kushuhudia Mkasa Wa Moto.
Haya Yanajiri Siku Moja Baada Ya Shule Ya Upili Ya Wavulana Ya Maranda Kushuhudia Kisa Kingine Cha Moto, Mojawapo Ya Bweni Likiteketea. Waziri Wa Elimu Professa George Magoha Amerejelea Mjadala Kuhusu Kuondoa Shule Za Bweni Nchini. Zaidi Ya Shule 40 Zimeteketea Chini Ya Mwezi Moja Huku Visa Hivyo Vikizidi Kuongezeka Kila Siku

Recommended