Bunge La Kitaifa Limefutilia Mbali Mswada Wa Kumbandua Mamlakani

  • 3 years ago
Bunge La Kitaifa Limefutilia Mbali Mswada Wa Kumbandua Tabitha Mutemi Kama Mwanachama Wa Baraza La Wanahabari Humu Nchini. Wajumbe Hao Walionekana Kukinzana Kuhusiana Na Ripoti Hiyo Iliyopendekeza Kuwasilishwa Kwa Malalamishi Mbele Ya Waziri Wa Mawasiliano Joe Mucheru Ili Kutatua. Ripoti Ya Kamati Ya Mawasiliano Katika Bunge La Kitaifa Ilishikilia Kuwa Tabitha Hafai Kuwa Katika Wadhifa Katika Tume Ya IEBC Na MCK Ingawa Wabunge Walikuwa Na Maoni Tofauti.