Omtatah Awasilisha Ombi Mahakamani Kusitisha Mpango Wa Bunge

  • 3 years ago
Mwanaharakati Okiya Omtatah Amewasilisha Ombi Mahakamani Kusitisha Mpango Wa Bunge Kubadilisha Katiba Kabla Ya Uchaguzi Mkuu Mwaka Ujao....Omtatah Anashikilia Kuwa Wajumbe Wanaenda Kinyume Cha Sheria Kwani Wanataka Rais Awe Na Uwezo Wa Kuchagua Mawaziri Kutoka Bunge Jambo Linalokiuka Katiba Inayoelekeza Mageuzi Yote Yafanyike Kupitia Kura Ya Maoni....