Waliokuwa Vinara Wa NASA Wahudhuria Kongamano La Kitaifa La Wiper

  • 3 years ago
Waliokua Vinara Wa Muungano Wa National Super Alliance NASA Wamesema Kunao Uwezekano Mkubwa Wa Kuungana Tena. Kinara Wa Chama Cha ODM Raila Odinga Aliejiunga Na Vinara Wa One Kenya Amesema Hakuna Lisilowezekana Katika Siasa Na Kuwa Yuko Tayari Kufanya Kazi Na Vinara Hao.