Skip to playerSkip to main contentSkip to footer
  • 5 days ago
FinPetrol777 is a reputable business organisation that specializes in Strategic Marketing, Branding, Social Media Management+ Digital Currencies👍
https://bit.ly/4eHZRw8
Email@: saadghouri972@gmail.com
Proud 2 B Pakistani......
Pakistan 🇵🇰 Zindabad......

Category

🗞
News
Transcript
00:00Mimi nita sema kwa kifupi kwa sababu ndugu zangu hawa wameongea kwa kirefu
00:05Kwanza nataka ni mshikuru mungu kwa kutupatia nafasi hii ya kipekee
00:11Tuweze kufika hapa katika kanisa lenu
00:15La St. Martins, S.E.K. hapa Kariobangi
00:19Vile Askofu waliwaeleza
00:23Nikweli nilimpigia jana jioni
00:27Kama saatatu hivi
00:29Na haka nieleza, halikuwa metoka kisumu, halikuwa meenda kazi ingine kule
00:37Na nikamuambia ya kwamba, nilikuwa ni mealikuwa leo kuenda kanisa kule Narok, kanisa la Baptist
00:45Lakini kwa sababu niko na safari, nikatumana, nikamueleza askofu unaenda kanisa ni wapi
00:56Kwa sababu, siku hile ulinialika, nikuje siku ya kutawazuwa kwako, siku pata nafasi
01:05Haka niambia naenda kariobangi
01:09Eee, nikamambia basi, hata na mimi nitakuja kariobangi
01:15Na niliwauliza, kuna maneno gani kule kariobangi
01:22Haka niambia, kuna maneno ya laying foundation stone
01:27Basi, nikajua pale kuna kazi
01:31Na, nikamueleza askofu, najua wale watu wa kariobangi ni watu wa bottom up
01:37Eee, wanataka kupigwa jeki ya bottom up
01:42Sasa mimi nimekujia iyo kazi
01:43Lakini zaidi, nimekuja hapa kwa sababu ya kusikiza neno la mungu
01:53Na nataka ni mishukuru mungu wa metupatia iyo nafasi
01:56Ya kunenewa neno la mungu, kama wa kristo
02:00Ndiyo tuweze kuendesha maisha yetu kulingano na mapenzi ya mungu
02:06Asante sana askofu kwa kutunenea neno la mungu
02:10Tutatusamehe, unajua, ee, viongozi wengi wa siyasa sasa ingine
02:16Wanachanganya maneno ya kanisa na ingine ya siyasa
02:20Meskia, wana orelo wamesema, yee ni siku yaka ya kwanza
02:26Kuona confirmation kwa kanisa la S.E.K.
02:31It was the first time
02:33So, mutaniruhusu sasa ingine na furuta hawa tukuja kanisana
02:38Ndiyo waelewe maneno
02:39Kwa sababu unajua neno la mungu linasema
02:45Neno la mungu nila ubiriwa kwa mbinu zote
02:48So, nashukuru mungu kwa sababu tumepata iyo nafasi
02:53Ya kuungana na wananchi wasemu hii
02:58Na ningependa kusema kwa watu wa Nairobi
03:02Mujue ya kwamba Nairobi hii, ndio capital city yetu ya Kenya
03:07Na kwa sababu ndio capital city yetu ya Kenya
03:11Ndiyo sura ya taifa letu
03:14Tukuna wageni wengi, wanaotembelea nchi yetu
03:19Na pale wanapo fika, sehemu ya kwanza wanafika ni Nairobi
03:24Na ndio sababu nafanya bidii sana
03:28Kubadilisha sura ya Nairobi, ndio iwe sura ya Kenya
03:33Ndiyo watu wakifika hapa
03:35Wajue ya kwamba
03:37Kenya ni inchi ya eshima
03:40Kenya ni inchi ya nye ikona maendeleo
03:43Kenya ni inchi ya nye ikona amani
03:46Na Kenya ni inchi ya ambayo inaelewa vile mambo ya navio paswa kuenda mbele
03:51Ndiyo sababu tumeweka mpango nyingi
03:57Kama vile mmesikia wa viongozi wakisema
04:00Barabara za hapa Nairobi
04:04Bado hasijafikia kiwango ambayo ni ya kutosha
04:09Ndiyo sababu
04:11Kama serikali tumetoa shilingi bilioni mbili na laki moja
04:15Ya kuongeza barabara za Nairobi
04:17Pia tumekamilisha ile Northern Collector Tunnel
04:23Ndiyo maji zaidi ipatikane Nairobi County
04:27Hapa hapa Nairobi katika mpango yetu ya affordable housing
04:32Tunajenga nyumba elfu hamsini hapa Nairobi
04:36Katika program yetu ya markets tunajenga markets kumi mpia hapa Nairobi
04:42Katika program ya Climate Works
04:45Vile muliona jana
04:48Vile niliahidi
04:50Vijana wengine elfu ishirini na tano
04:54Jana waliungana na kazi ya Climate Works
04:57Wataanza kazi kesho
04:59Vile vile program yetu ya Shah
05:03Kuwakikisha ya kwamba hakuna mkenya anakosa matibabu kwa sababu hana wezo
05:11Na tuwakikisha kwamba kuna madawa
05:14Na tuwakikisha kwamba kuna madaktari
05:17Na tuwakikisha kwamba kuna vifaa ya kushugulikia wananchi kwa ahali ya matibabu
05:24Nataka ni wapongeze county ya Nairobi
05:27Kwanza wale community health promoters
05:30CHPs
05:31Wanafanya kazi mzuri sana
05:34Kutusaidia, kusajili watu na kuwaandikisha
05:38Watu waliwa andikishwa kwa program ya Shah Nairobi peke yake ni watu milioni moja
05:44Elfu miatisa hamsini
05:471,950,000 citizens of Nairobi county are registered in Shah
05:55Ile kitu mimi nataka ni waulize wale wengine ambao hawajajiandikisha
06:00Mujandikishe
06:02Kwa sababu kujiandikisha kwenu itatusaidia kama serekali
06:07Tujue wananchi katika zahanati fulani
06:12Ama dispensary fulani ama health center fulani ni wangapi
06:16Ndiyo tuweze kupanga madawa
06:18Tuweze kupanga madaktari
06:20Tuweze kupanga vifa ama equipment ya matibabu
06:24Ndiyo tuwakikishe hakuna mkenya tena
06:28Anauza mali yake
06:29Anauza ngombe yake
06:31Ama plot yake kulipia garama ya hospitali
06:35We want vile tumesema
06:37Afia isiwe stare ya matajiri
06:40Iwe ni haki ya kila mkenya
06:42Bila ya kujali uwezo wake waki feather
06:46Mimi nataka pia niseme ya kwamba katika hiyo program zote
06:51Elimu ya watoto wetu ni ya muhimu sana
06:54Miminajua askofu tukijenga kanisa hii
06:59Tutakuwa na sunday school
07:00Mahali wengi wetu tulipitia
07:03Pale mahali ambapo
07:05Watoto wetu wanaweza kufundishwa neno la mungu
07:09In their young age
07:12Na vile vile masomo katika taifaletu la kenya
07:17Na mimi nataka ni wakikishie wa kenya
07:21Ya kwamba free primary education
07:25Katika primary na secondary
07:27Ni haki ya kikatiba ya wananchi wa taifaletu la kenya
07:33Na tumehakikisha
07:38Ya kwamba in the last two years
07:40Tumefanya mambo katha
07:43To make sure that education is truly universal
07:46And truly accessible
07:48Because the commitment we have
07:51Is that education
07:53Is the greatest empowerment
07:56That any society
07:58Any country
07:59Can give to its young people
08:00And that is why education
08:03Must be affordable
08:04Must be accessible
08:06Must be of good quality
08:08And must be relevant
08:10Na sababu hiyo
08:12Ndiyo tumeweka pesa nyingi
08:15Kujenga madaraza mpia
08:17Kwa miaka miwili
08:18Mepita tumejenga madaraza mpia
08:20Elfu ishirini na tatu
08:22Hapa Nairobi peke yake
08:24Niliwapatia wabunge wa Nairobi
08:27Bilioni moja
08:28Kujenga madaraza mpia
08:30Hapa Nairobi
08:31Kwa sababu hapa Nairobi
08:33Ndiyo tulikuwa na changamoto kubwa
08:35Ya msongamano
08:37Katika madaraza yetu
08:39Na watoto wengi walikosa nafasi ya kusoma
08:41Vile vile
08:43Tumekubaliana ya kwamba
08:45Mambo ya masomo
08:47Katika university
08:47Tumeongeza pesa
08:49Ili tuwakikisha kwamba
08:51Ile new funding model
08:53Inaakikisha
08:54Hakuna mtoto wa Kenya
08:55Anawacho nyuma
08:56Wapate wote nafasi ya kusoma
08:58Vile vile
09:00Tumeajiri walimu zaidi
09:0276,000 teachers
09:04Have been hired in the last two years
09:06By January
09:08We will hire another 24,000 teachers
09:10Kwa sababu
09:12Tunataka kuakikisha kwamba
09:15Hakuna mtoto wa Kenya
09:17Anakosa
09:18Kusoma
09:19Kwa sababu
09:19Hakuna walimu
09:20Wakutosha
09:21Vile vile
09:22Tumekubaliana na viongozi wa walimu
09:26Wale wa kupet
09:28Na wale wa not
09:29Ili tusiwe na mambo ya strike
09:32Na tusiwe na mambo ya msuko suko
09:34Kwa mambo ya ilimu
09:35We have agreed with them
09:37We have signed a CBA
09:39Up to 2029
09:40Sasa hatutakuwa na mgogoro hapa katikati
09:45Tunataka walimu wetu
09:46Washugulike
09:47Na kusomesha watoto wetu
09:49Tumekubaliana na wawo
09:51Tutawongezea mshara
09:52From 6% all the way to almost 29%
09:57Katika hiyo mpango
09:59So I just want to give assurance
10:02That education cannot be compromised
10:07We cannot compromise access
10:10We cannot compromise quality
10:13We cannot compromise affordability
10:16And we cannot compromise relevance
10:18It must be what we are looking for
10:21Na kwa sababu mnajua
10:24Ile rasilmali kubwa sana
10:27Mungu wa metupatia Kenya hii
10:30Ni rasilmali ya wananchi wa Kenya
10:33We have the greatest resource
10:35And the biggest asset
10:38In the human capital we have in Kenya
10:41Na njo sababu hiyo
10:42Elimu ni ya muhimu sana
10:44Na mimi nataka nishukuru kanisa
10:46Kupitia askofu wetu
10:48Na makanisa yale mengine
10:50Kwa kushirikiana na sisi
10:52Kama serekali
10:53Kwa mambo ya elimu
10:56Ya watoto watayifaletu la Kenya
10:57And we will continue the partnership
11:00Between religious organizations
11:03Churches
11:05Religious groups
11:06And the state
11:08In making sure that
11:09Education is available
11:11Education is well managed
11:13Education is relevant
11:15Of good quality
11:17And accessible
11:18To all
11:20The young people
11:21Of the Republic of Kenya
11:23Kwa hivyo
11:24Mimi sitaki kusema sana
11:27Kwa swabu leo
11:28Tuko kanisani
11:28Tutatafuta na fasingine
11:30Ya kuongea mambo mengine
11:31Yale mimi nataka
11:32Ni washukuru sana
11:34Kwenu
11:34Kwa kutukaribisha
11:35Hapa kariobangi
11:36Hii kanisalenu
11:39Ni meona vizuri
11:41Ya kwamba
11:41Muko na kazi
11:42Eee
11:44Muko na kazi
11:45Na tutasaidiana
11:47Pamoja na njini
11:48Tutasaidiana
11:50Pamoja
11:51So
11:53Sijui
11:54Mungetaka
11:54Nitowe pesa
11:55Kiazigani
11:56Lakini
11:56Nita
11:57Unataka
12:06Tujenge
12:07Mbaka
12:07Tumalize
12:07Kamoja
12:09Siyo
12:09Na njini
12:11Partnership
12:12So
12:13Bishop
12:14Sitaki
12:16Kutangaza
12:16Hapa
12:17Lakini
12:18Nataka
12:19Utanitia
12:20Kamati
12:20Ujenzi
12:25Na
12:26Kamati
12:27Ya
12:27Hii
12:28Kanisa
12:29Wanitembele
12:30Next week
12:31I love to
12:33Wanilete
12:37Hesabu
12:38Ndiyo
12:39Nijue
12:39Kiazigani
12:40Nitatoa
12:41Sindio
12:42So
12:43Bishop
12:44You will
12:44Utanitia
12:47Kunijulisha
12:50Wale ambao
12:51Anasimamia
12:52Ujenzi
12:52Wa kanisa
12:53Hii
12:54Watakuja
12:55Pale
12:55Nionge
12:56Na wawo
12:57Wakipata
12:59Na fasi
13:00Najua
13:00Unajua
13:00Ni watu
13:01Wako
13:01Busy
13:02Lakini
13:03Mukipata
13:03Na fasi
13:04Kidogo
13:04Munaweza
13:05Kunitembelea
13:06Ndiyo
13:06Tuweze
13:07Kukubaliana
13:08Sindio
13:10Tuweze
13:12Kukubaliana
13:12Bile
13:13Tutajenga
13:14Kanisa
13:14Hii
13:14Kwa pamoja
13:15So
13:16Otherwise
13:17Mimin
13:17Mepurai
13:18Sana
13:18Kufika
13:19Hapa
13:19Kwenu
13:19Na
13:20Watakia
13:21Baraka
13:21Ya
13:21Mungu
13:22Na
13:23Watakia
13:23Heri
13:24Mungu
13:25Ajibu
13:26Maumbi
13:26Yenu
13:26Yote
13:27Na
13:28Mparikio
13:28Kilasiku
13:29Kukubaliana

Recommended