Wabunge Wajadili Mswada Kuhusu Vyama Vya Kisiasa

  • 2 years ago
Mdhahalo Mkali Umeshuhudiwa Kwenye Kikao Maalum Cha Bunge Mapema Leo Wakati Wabunge Walipokuwa Wakijadili Mswada Kuhusu Mageuzi Ya Sheria Kuhusu Vyama Vya Kisiasa.Wabunge Wanaounga Mkono Mswada Huo Uliowasilishwa Bungeni Na Kiongozi Wa Wengi Amos Kimunya Wakiutetea Na Kusema Kuwa Utaleta Nidhamu Katika Uundaji Miungano Ya Kisiasa .Hata Hivyo Wapinzani Wa Mswada Huo Wanasema Kuwa Kuna Njama Za Kufaidi Mrengo Uliokuwa Ukipigia Upato Mchakato Wa Mageuzi Ya Katiba Kupitia BBI.