Wanabodaboda Wahamasishwa Kuhusu Amani Wakati Wa Kampeni

  • 2 years ago
Katibu Mkuu Wa Maswala Ya Usalama Wa Ndani, Karanja Kibicho Amewataka Waendeshaji Bodaboda Kuzingatia Usalama Wakati Huu Wa Kampeni Za Kisiasa. Akizungumza Katika Hafla Ya Hamasisha La Usalama Barabarani, Kibicho Amesema Kuwa Serikali Imetenga Fedha Maalum Kwa Mafunzo Ya Waendeshaji Bodaboda Huku Akionya Kuwa Atakayepatikana Bila Kibali Rasmi Cha Uendeshaji Wa Bodaboda Atakabiliwa Na Mkono Wa Sheria

Recommended