Sanamu Ya Ronald Ngala Yazinduliwa Jijini

  • 2 years ago
Shujaa Wa Kenya Ronald Ngala Ametambulika Kistadi Humu Nchini Baada Ya Sanamu Yake Kuzinduliwa Masaa Machace Kabla Ya Sherehe Za Jamuhuri. Sanamu Hiyo Ambayo Imezinduliwa Katika Barabara Kuu Ya Ronald Ngala Jijini Nairobi, Imezinduliwa Rasmi Na Rais Uhuru Kenyatta, Huku Akiandamana Na Familia Ya Ngala Na Baadhi Ya Viongozi Wa Pwani.

Recommended