Marufuku Ya Vilabu Vilivyo Maeneo Ya Makaazi Jijini Nairobi
  • last year
Wamiliki Wa Vilabu Vya Usiku Katika Makaazi Jijini Nairobi Walijipata Pasipo Usiku Wa Kuamkia Leo Baada Ya Maafisa Wa Kaunti Pamoja Na Polisi Kuendesha Operesheni Dhidi Ya Vilabu Vinavyokiuka Mikakati Mipya Ya Kaunti. Aidha Gavana Wa Nairobi Johnson Sakaja Alitangaza Marufuku Ya Vilabu Vya Usiku Katika Makaazi, Na Kutaka Baa Na Hoteli Katika Maeneo Hayo Kuzingatia Saa Za Huduma Mbali Na Kudhibiti Kelele Za Mziki Kwa Wakaazi.
Recommended