Maafisa 194 Kutoka Eneo La Magharibi Wafanyiwa Uchunguzi Afya

  • 3 years ago
Jumla Ya Maafisa 194 Wa Polisi Kutoka Kaunti Ya Kakamega,Busia ,Bungoma Na Vihiga Wamepata Fursa Ya Kufanyiwa Uchunguzi Wa Magonjwa Mbali Mbali Walengwa Zaidi Wakiwa Wale Ambao Wameathirika Na Msongo Wa Mawazo..Uchunguzi Huo Umefanikishwa Na Kitengo Kinachoshughulikia Afya Ya Maafisa Wa Polisi.

Recommended