Muheria Ameitaka Wizara Ya Afya Kuwapa Waubiri Nchini Chanjo

  • 3 years ago
Mwenyekiti Wa Baraza La Kidini Kuhusu Covid-19 Askofu Mkuu Anthony Muheria Ameitaka Wizara Ya Afya Kuwapa Wahubiri Nchini Chanjo Ya Covid-19. Muheria Ambaye Ni Askofu Wa Dayosisi Kanisa Katoliki Jimbo La Nyeri Anasema Kuwa Wahubiri Wanatangamana Na Maelfu Ya Watu Kila Jumapili Na Huenda Wakaambukizwa Virusi Vya Covid-19 Ambavyo Vimesababisha Watu Zaidi Ya Elfu Moja Kuaga Duniani.

Recommended