Kaunti Ya Mombasa Kushuhudia Pambano Nzito La Wadhifa Wa Ugavana

  • 3 years ago
Mombasa Ni Baadhi Ya Kaunti Ambazo Zitanatarajiwa Kushuhudiwa Kivumbi Kizito Cha Nani Atakeyamrithi Gavana Ali Hassan Joho.Kufikia Sasa Wagombea 8 Wametangaza Nia Yao Ya Kusaka Wadhifa Huu Wa Ugavana .Lakini Kikuu Mno Ni Wakati Wagombea Wanawachumbia Wapiga Kura,Kinara Wa ODM Raila Odinga Amejipata Katika Hati Hati Ya Ni Nani Atakeyemuunga Mkono Katika Pambano Hili La Kusaka Ugavana ,Kati Ya Mbunge Wa Mvita Abdulswamad Sharrif Nassir Na Suleiman Shahbal Wote Wawili Wakionekana Kuwa Kwa Ukaribu Zaidi Naye Odinga.

Recommended