Utekelezaji Wa Miradi Umedorora Katika Kaunti Ya Elgeyo Marakwet

  • 3 years ago
Wenyeji wa kaunti ya Elgeyo Marakwet wametishia kukata usambazaji wa maji kwa mji wa Eldoret iwapo mashirika ya serikali yatakosa kuchunguza kudorora kwa utekelezaji wa miradi inayogharimu milioni 635 katika eneo hilo. Wakaazi hao wamemtaka mbunge wao kuwasilisha mswada bungeni ili kuishurutisha serikali ya kaunti kuachilia fedha za miradi hiyo.

Recommended