Kiwango Cha Maambukizi Ya Corona Humu Nchini Kimefikia Asilimia 2.8%

  • 3 years ago
Kiwango Cha Maambukizi Ya Virusi Vya Corona Humu Nchini Kimefikia Asilimia 2.8% Baada Ya Wizara Ya Afya Kuripoti Visa Vipya 170 Kutokana Na Sampuli 6,162 Zilizopimwa Katika Saa 24 Zilizopita.

Recommended