Yesu Tu Ndiye Atakusamehe Si Mimi, Ulilala Na Dada Yangu

  • 3 years ago
Katibu Mkuu Wa Muungano Wa Wafanyikazi Nchini Francis Atwoli Amewaonya Waajiri Wanaotumia Janga La Corona Kuwakandamiza Wafanyikazi. Akihutubia Katika Kikao Na Wanachama Wake Hii Leo Atwoli Ametaja Kuwa Wafanyikazi Wengi Wameangukia Mjeledi Wa Kufutwa Kazi Huku Waajiri Wakitumia Makali Ya Janga La Corona Kama Kijisababu Kikuu.

Recommended