Watu Milioni 7 Wamiliki Nyumba Zao
  • 3 years ago
Ni Azimio La Kila Mkenya Kumiliki Nyumba Yake Ila Mathara Ya Janga La Corona Na Hali Ngumu Ya Uchumi Baada Ya Bei Ya Mafuta Kupanda Imefanya Azimio Hilo Kuwa Kama Ndoto. Na Sasa Wanaitaka Serikali Iboreshe Uchumi Ili Wawe Kati Ya Milioni 7 Ya Wakenya Wanao Miliki Nyumba Zao. Mwanahabari Wetu Lucy Riley Anatuarifu Zaidi.
Recommended