Waiguru Anadai Kuwa Atalazimika Kutafuta Chama Kingine Kabla 2022

  • 3 years ago
Gavana Wa Kirinyaga Ann Waiguru Sasa Anashikilia Kuwa Itakuwa Vigumu Kushikilia Wadhifa Wake Kupitia Tiketi Ya Jubilee Katika Uchaguzi Wa Mwaka Wa 2022. Gavana Huyo Ameshikilia Kuwa Atalazimika Kutafuta Njia Mbadala Kuibuka Mshindi Katika Uchaguzi Ujao Kwani Viongozi Kadhaa Wanapania Kuwania Kiti Hicho Mwaka Ujao. Kinachostajabisha Wengi Ni Kuwa Waiguru Alikuwa Ameunga Mkono Uwiano Kati Ya Rais Uhuru Kenyatta Na Kinara Wa Odm Raila Amolo Odinga.

Recommended