Mvulana Wa Umri Wa Miaka 2 Aliyetekwa Nyara Jumapili Apatikana Ameuawa Kinyama

  • 3 years ago
Mvulana Mmoja Wa Umri Wa Miaka 2 Aliyetekwa Nyara Siku Nne Zilizopita Kutoka Kaunti Ya Kirinyaga Amepatikana Akiwa Ameuawa Kinyama Na Mwili Wake Kutupwa Katika Mfereji Wa Umwagiliaji Maji Katika Kijiji Cha Kabatiro. Afisa Wa Ujasusi Katika Kaunti Ya Kirinyaga Kiplagat Korir Amedhibitisha Kifo Cha Mvulana Huyo Baada Ya Marehemu Kupelekwa Hospitali Ya Kerugoya. Huku Mwili Wake Unangojea Kufanyiwa Upasuaji, Wakazi Wanaitaka Serikali Ihakikishe Wanaopatikana Na Hatia Wamechukuliwa Hatua Kali Za Kisheria.

Recommended