Shule Za Siaya Zaweka Mikakati Kudhibiti Corona

  • 3 years ago
Huku Janga La Corona Likizidi Kukata Kila Upande Mithili Ya Upanga, Mikakati Inazidi Kuwekwa Ili Kudhibiti Makali Yake Hasa Katika Shule Humu Nchini. Mikakati Hii Inajiri Kufuatia Wasiwasi Uliobuliwa Na Wazazi Kuhusu Usalama Wa Wanao Hasa Katika Kaunti Ya Siaya.

Recommended