Magoha Asema Kuwa Kufutiliwa Kwa Shule Za Bweni Kutekelezwa Kwa Awamu

  • 3 years ago
Waziri Wa Elimu George Magoha Amesema Pendekezo La Shule Za Mabweni Za Upili Kufutiliwa Mbali Litatekelezwa Kwa Awamu. Mwezi Wa February Mwaka Huu, Kamati Iliyoteuliwa Na Waziri Magoha Ilipendekeza Kutolewa Kwa Shule Za Bweni Katika Mtaala Mpya. Na Kama Mwanahabari Wetu Lucy Riley Anavyotuarifu, Waziri Amesema Wazazi Watakaopendekeza Wana Wao Kuendalea Katika Shule Za Bweni Wataruhusiwa

Recommended