Mwanafunzi Wa Kidato Cha 1 Afariki Shuleni Eneo La Burnt Forest

  • 3 years ago
Hali Ya Hofu Imezuka Katika Soko La Burnt Forest Baada Ya Mwanafunzi Wa Kidato Cha Kwanza Katika Shule Ya Wavulana Ya Arnesen's Iliyo Kaunti Ya Uasingishu Kufariki Jumamosi Usiku Katika Hali Ya Kutatanisha.Wakaazi Wamemnyoshea Mwalimu Mkuu Kidole Cha Lawama Kwa Kufunga Shule Na Kuwaacha Wanafunzi Kutangamana Na Raia Wakisema Huenda Alifariki Kutokana Na Maambukizi Ya Corona.

Recommended