Wanaoendesha Magari Ya Masafa Marefu Waililia Serikali

  • 3 years ago
Wamiliki Wa Mabasi Na Madereva Ya Masafa Marefu Wameirai Serikali Kuwalegezea Masharti Ya Kafyu Kufuatia Hasara Kubwa Wanayokadiria Kutoka Mwaka Jana.Wanadai Kuwa Kulegezwa Kwa Masharti Hayo Utawasaidia Kuregesha Fedha Walizopoteza Ikiwemo Pia Na Ilani Ya Kuregeshwa Kwa Idadi Kamili Ya Abiria …