Wafuasi Wa Havi Na Wambua Warushiana Cheche Za Maneno

  • 3 years ago
Kizaazaa Kimeshuhudiwa Katika Makao Makuu Ya Chama Cha Mawakili LSK Baada Ya Wafuasi Wa Rais Nelson Havi Na Afisa Mkuu Mkurugenzi Mercy Wambua Kurushiana Cheche Za Maneno. Iliwalazimu Maafisa Wa Polisi Kukita Kambi Katika Afisi Za Lsk Ili Kujaribu Kutafuta Suluhu La Sintofahamu Hiyo Inayosababisha Uhasama Baina Ya Mawakili Wa Pande Mbili Zinazokinzana. Mabawabu Watatu Wanaodaiwa Kuajiriwa Na Nelson Havi Ili Kutoa Ulinzi Walikamatwa Na Polisi. Hali Hii Imesababisha Hali Ya Mshikemshike Katika Afisi Hizo Na Kulemaza Shuhuli Huku Wafanyikazi Wakilazimika Kusalia Nje Hadi Suluhu Ipatikane.

Recommended