Aliyekuwa bingwa wa dunia wa mbio za mita 400 Nicholas Bett azikwa

  • 6 years ago
Aliyekuwa bingwa wa dunia wa mbio za mita mia nne kuruka viunzi, Nicholas Bett amezikwa leo Simat, kaunti ya Uasin Gishu.
Na kama anavyoarifu Loise Wangui, Bett alienziwa na wengi waliofika mazishini.

Recommended