IEBC: Chaguzi Ndogo Zitaandaliwa Mwezi Wa Octoba Mwaka Huu

  • 3 years ago
Tume Huru Ya Uchaguzi Na Mipaka Iebc Imedhibitisha Kuwa Chaguzi Ndogo Ya Wajir, Meru Na Makueni Zitaandaliwa Mwezi Wa Octoba Mwaka Huu. Tayari Vyama Kadhaa Vimejiandaa Kwa Chaguzi Hizo Huku Wakipania Kushinda Nafasi Hizo Kabla Ya Uchaguzi Wa Mwaka 2022. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Na Maelezo Zaidi……….

Recommended