IEBC: Tu Tayari Kuandaa Chaguzi Ndogo Alhamis

  • 3 years ago
Tume Huru Ya Uchaguzi Na Mipaka Nchini Inasema Kuwa Ipo Tayari Kuandaa Chaguzi Ndogo Za Eneo Bunge La Kiambaa Na Wadi Ya Muguga Hapo Kesho. Msimazi Wa Uchaguzi Mdogo Wa Kiambaa, Peter Muigai Anasema Kwamba Wapo Tayari Kufungua Vituo Vya Kupigia Kura Saa Kumi Na Mbili Alhamis. Usalama Umeimarishwa Huku Kivummbi Cha Kisiasa Kikitarajiwa