Lonyangapuo: Wazazi Westpokot Wanatatizika Kulipa Karo Ya Wanao
  • 3 years ago
Gavana Wa Westpokot Profesa John Lonyangapuo Ameitaka Serikali Kuu Kupitia Wizara Ya Elimu Kuwasaidia Wanafunzi Kulipa Karo Haswa Wale Ambao Hawajiwezi Huku Wanafunzi Wakizidi Kuripoti Shuleni Kwa Muhula Ya Kwanza Wa Mwaka 2021. Kwengineko Huku Watahiniwa Wa Kcpe Wa Mwaka Wa 2020 Wakijiandaa Kujiunga Na Kidato Cha Kwanza Kote Nchini, Changamoto Zinazidi Kuibuliwa Haswa Miongoni Mwa Wanafunzi Hao Kutoka Mtaa Wa Mabanda Wa Mukuru Kwa Njenga Hapa Jijini Nairobi, Ambao Hawana Vifaa Na Hata Karo Ya Kwenda Shuleni. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Maelezo Zaidi………..
Recommended