Mabwenyenye Wa Kuzalisha Umeme Wamulikwa Na Wabunge

  • 3 years ago

Kamati Ya Kawi Katika Bunge La Kitaifa Inataka Kujua Mabwenyenye Wenye Kampuni Za Kuzalisha Umeme Humu Nchini Na Vilevile Kutathmini Mkataba Kati Yao Na Kampuni Ya Kusambaza Nguvu Za Umeme Kplc. Kamati Hiyo Inayoongozwa Na Mbunge Wa Nakuru Town David Gikaria Imetilia Shaka Bei Ghali Ya Umeme Kwa Mwananchi Wa Kawaida Na Kiini Cha Kampuni Ya Kusambaza Umeme Kukadiria Hasara Kila Mara. Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Alihudhuria Kikao Cha Kamati Na Kukuandalia Taarifa Ifuatayo