Wabunge Wa ODM Waungana Kuunga Mswada Wa Marekebisho Wa Katiba

  • 3 years ago
Chama Cha ODM Kimetoa Mwelekeo Kwa Wanachama Wao Kuhusu Mswada Wa Marekebisho Wa Katiba Ambao Utajadiliwa Hapo Kesho.Mwenyekiti Wa Chama John Mbadi Amewataka Wabunge Wote Wa Chama Kuunga Mswada Huo Huku Akitoa Vitisho Kwa Wale Watakaokiuka Amri Watachukuliwa Hatua.Baadhi Ya Wabunge Akiwemo Timothy Wanyonyi Wa Westlands Na Mwenzake Wa Mvita Abdulswamad Sharrif Nassir Wameunga Pendekezo La Mbadi Kuchukua Hatua Moja Wakati Wa Kutegua Mtego Wa BBI

Recommended