Mfanyabiashara Wa Mombasa Maur Bwanamaka Apatikana Na Hatia

  • 3 years ago
Mfanya Biashara Wa Mombasa Na Mwanaharakati Wa Kisiasa Maur Abdalla Bwanamaka Amepigwa Faini Ya Shilingi Milioni Kumi Na Nne Baada Ya Kupatikana Na Hatia Ya Kukwepa Ushuru. Hakimu Wa Mombasa Edna Nyaloti Amempata Bwanamaka Na Hatia Ya Kupunguza Dhamani Ya Bidhaa Za Mchele Na Vyuma Viku Kuu Alivyoagiza Kutoka Mataifa Ya Nje Kwa Minajili Ya Kuwepa Ushuru.