Siku Ya Malaria Duniani

  • 3 years ago
Huku Taifa Likiungana Na Ulimwengu Wote Kuadhimisha Siku Ya Malaria Duniani, Ripoti Zimeonyesha Kuwa Hatua Kubwa Zimefanywa Katika Kupunguza Ugonjwa Huo Nchini. Kwa Mujibu Wa Utafiti Wa Viashiria Vya Malaria, Maambukizi Ya Malaria Yamepungua Kutoka Asilimia 8% Mwaka 2015 Hadi Asilimia 5.6 Mwaka 2020. Licha Ya Hatua Hizi, Wizara Ya Afya Imeonya Kuwa Huu Sio Wakati Wa Kupumzika Kwani Ugonjwa Huo Unaangamiza Maisha Ya Watu Laki 4 Kila Mwaka Huku Asilimia 90 Ya Vifo Vikitokea Barani Afrika.

Recommended